Mkoa wa Lomami
Mandhari
| Mkoa wa Lomami |
|
| Nchi | Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo |
|---|---|
| Mikoa | |
| Mji mkuu | Kabinda |
| Eneo | |
| - Jumla | 56,426 km² |
| Idadi ya wakazi (2020) | |
| - Wakazi kwa ujumla | 3,001,900 |
Mkoa wa Lomami ni mmojawapo kati ya mikoa 26 ya kujitawala ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Idadi ya wakazi wake ni takriban 3,001,900.
Mji mkuu ni Kabinda. Mji mkubwa na Mwene-Ditu.
Wilaya
[hariri | hariri chanzo]Mkoa umegawanywa katika hiyo miji miwili na wilaya tano:
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]| Équateur | Ituri | Kasai | Kasai Kati | Kasai Mashariki | Katanga Juu | Kinshasa | Kivu Kaskazini | Kivu Kusini | Kongo Kati | Kwango | Kwilu | Lomami | Lomami Juu | Lualaba | Mai-Ndombe | Maniema | Mongala | Sankuru | Tanganyika | Tshopo | Tshuapa | Ubangi Kaskazini | Ubangi Kusini | Uele Chini | Uele Juu | |
| +/- | |
| Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Lomami kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |

