Nenda kwa yaliyomo

Mkoa wa Kwilu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Mkoa wa Kwilu
Mahali paMkoa wa Kwilu
Mahali paMkoa wa Kwilu
Mahali pa Mkoa wa Kwilu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Nchi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Mikoa
Mji mkuu Kikwit
Eneo
 - Jumla 78,219 km²
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 5,174,718

Mkoa wa Kwilu ni moja ya mikoa 26 ya kujitawala ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Jina linatokana na mto Kwilu unaopita mkoani kutoka kusini hadi kaskazini.

Idadi ya wakazi wake ni takriban 5,174,718.

Mji mkuu ni Kikwit.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


 
Mikoa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Bandera Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Équateur | Ituri | Kasaï | Kasaï Mashariki | Katanga Juu | Kinshasa | Kivu Kaskazini | Kivu Kusini | Kongo Kati | Kwango | Kwilu | Lomami | Lomami Juu | Lualaba | Lulua | Mai-Ndombe | Maniema | Mongala | Sankuru | Tanganyika | Tshopo | Tshuapa | Ubangi Kaskazini | Ubangi Kusini | Wele Chini | Wele Juu
+/-
Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Kwilu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.