Mkoa wa Mongala

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Mkoa wa Mongala
Mahali paMkoa wa Mongala
Mahali paMkoa wa Mongala
Mahali pa Mkoa wa Mongala katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Majiranukta: 02°09′N 21°31′E / 2.150°N 21.517°E / 2.150; 21.517
Nchi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Wilaya 5
Mji mkuu Lisala
Eneo
 - Jumla 58,141 km²
Idadi ya wakazi (2005)
 - Wakazi kwa ujumla 1,481,700

Mkoa wa Mongala ni moja ya mikoa 26 ya kujitawala ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Idadi ya wakazi wake ni takriban 1,481,700. Mji mkuu ni Lisala.


Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Mongala kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:



 
Mikoa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Bandera Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Équateur | Ituri | Kasaï | Kasaï Mashariki | Katanga Juu | Kinshasa | Kivu Kaskazini | Kivu Kusini | Kongo Kati | Kwango | Kwilu | Lomami | Lomami Juu | Lualaba | Lulua | Mai-Ndombe | Maniema | Mongala | Sankuru | Tanganyika | Tshopo | Tshuapa | Ubangi Kaskazini | Ubangi Kusini | Wele Chini | Wele Juu
+/-