Mkoa wa Mai-Ndombe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Mkoa wa Mai-Ndombe
Mahali paMkoa wa Mai-Ndombe
Mahali paMkoa wa Mai-Ndombe
Mahali pa Mkoa wa Mai-Ndombe katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Nchi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Mikoa
Mji mkuu Inongo
Eneo
 - Jumla 127,465 km²
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 1,768,327

Mkoa wa Mai-Ndombe ni mmoja ya mikoa 26 ya kujitawala ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Jina linatokana na ziwa Mai-Ndombe linalopatikana katikati yake.

Idadi ya wakazi wake ni takriban 1,768,327.

Mji mkuu ni Inongo.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


 
Mikoa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Bandera Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Équateur | Ituri | Kasaï | Kasaï Mashariki | Katanga Juu | Kinshasa | Kivu Kaskazini | Kivu Kusini | Kongo Kati | Kwango | Kwilu | Lomami | Lomami Juu | Lualaba | Lulua | Mai-Ndombe | Maniema | Mongala | Sankuru | Tanganyika | Tshopo | Tshuapa | Ubangi Kaskazini | Ubangi Kusini | Wele Chini | Wele Juu
+/-
Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Mai-Ndombe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.