Inongo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Inongo ni mji ulio makao makuu ya mkoa wa Mai-Ndombe, katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (zamani ilijulikana kama Zaire).

Makadirio ya idadi ya watu ni 45,159 (2009 [1]).

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Congo (Dem. Rep.): largest cities and towns and statistics of their population". World Gazetteer. Archived from the original on May 22, 2011. Retrieved January 21, 2009.
Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Inongo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.