Nenda kwa yaliyomo

Orodha ya miji ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kinshasa
Lubumbashi
Kisangani
Katanga

Hii ni orodha ya miji ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambayo mwaka 2005 ilikuwa na angalau wakazi 50,000.

# Mji Wakazi Mkoa
Sensa 1984 Kadirio 2010
1. Kinshasa 2,653,558 8,900,721 Kinshasa
2. Lubumbashi 564,830 1,630,186 Katanga Juu
3. Kolwezi 416,122 451,168 Lualaba
4. Mbuji-Mayi 486,235 1,559,073 Kasaï Mashariki
5. Kisangani 317,581 868,672 Tshopo
6. Kananga 298,693 967,007 Lulua
7. Likasi 213,862 422,535 Katanga Juu
8. Boma 197,617 167,326 Kongo Kati
9. Tshikapa 116,016 524,293 Kasai
10. Bukavu 167,950 1,012,053 Kivu Kusini
11. Mwene-Ditu 94,560 190,718 Lomami
12. Kikwit 149,296 370,328 Kwilu
13. Mbandaka 137,291 324,236 Equateur
14. Matadi 138,798 291,338 Kongo Kati
15. Uvira 74,432 337,488 Kivu Kusini
16. Butembo 73,312 204,452 Kivu Kaskazini
17. Gandajika 64,878 140,556 Kasai Mashariki
18. Kalemie 73,528 92,400 Tanganyika
19. Goma 77,908 377,112 Kivu Kaskazini
20. Kindu 66,812 163,587 Maniema
21. Isiro 78,268 182,000 Tshopo
22. Bandundu 63,642 137,460 Mai-Ndombe
23. Gemena 63,052 132,971 Ubangi Kusini
24. Ilebo 53,877 72,059 Kasai
25. Bunia 59,598 327,837 Tshopo
26. Bumba 51,197 103,328 Mongala
27. Beni 44,141 95,407 Kivu Kaskazini
28. Mbanza-Ngungu 44,782 97,037 Kongo Kati
29. Kamina 62,789 143,753 Katanga
30. Lisala 37,565 79,235 Mongala
31. Lodja 28,671 61,689 Sankuru
32. Kipushi 53,207 121,831 Lomami Juu
33. Binga 32,181 64,639 Mongala
34. Kabinda 24,789 192,363 Lomami
35. Kasongo 27,138 54,743 Maniema
36. Kalima 27,087 47,030 Maniema
37. Mweka 25,494 55,155 Lulua
38. Gbadolite 27,063 48,083 Ubangi Kaskazini
39. Baraka 28,083 115,289 Kivu Kusini