Mbanza-Ngungu
Mandhari
Mbanza-Ngungu (zamani: Thysville au Thysstad) ni mji wa mkoa wa Kongo Kati katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Idadi ya wakazi ni 100,000 hivi (2004).
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mbanza-Ngungu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |