Nenda kwa yaliyomo

Orodha ya miji ya Togo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani ya Togo
Lomé, Mji Mkuu wa Togo
Sokodé
Kara

Orodha ya miji ya Togo inaonyesha miji iliyopo nchini Togo katika Afrika ya Magharibi pamoja na idadi ya wakazi wake. [1] [2]

Na. Mji Idadi ya watu sensa ya 1981 Idadi ya watu sensa ya 2010 Mkoa
1. Lomé 390,000 1,477,658 Maritime
2. Sokode 45,660 95,070 Kati
3. Kara 28,902 94,878 Kara
4. Klime 28,262 75,084 Plateaux
5. Atakpame 24,139 69,261 Plateaux
6. Bassar 17,867 23,181 Kara
7. Tsevie 20,480 54,474 Maritime
8. Aneho 14,368 24,891 Maritime
9. Mango 12,894 24,766 Savanes
10. Dapaong 16,939 58,071 Savanes
11. Tchamba 12,911 22,970 Kati
12. Niamtougou 12,444 21,250 Kara
13. Bafilo 12,060 17,937 Kara
14. Notse 8,916 35,039 Plateaux
15. Sotouboua 10,590 24,332 Kati
16. Vogan 11,260 17,340 Maritime
17. Badou 8,111 12,003 Plateaux
18. Biankouri 15,562 Savanes
19. Tabligbo 7,526 22,304 Maritime
20. Kande 6,134 12,970 Kara
21. Amlame 3,997 9,870 Plateaux
22. Galangachi 9,632 Savanes
23. Kpagouda 4,112 7,686 Kara
  1. "Population of Cities in Togo". Monga Bay. Julai 1, 2019. Iliwekwa mnamo Januari 13, 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Institute of National Statistics of Togo, Togo Statistical Yearbook, 2010-2013". 2013. Iliwekwa mnamo Januari 13, 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)