Orodha ya miji ya Malawi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani ya Malawi.

Orodha ya miji ya Malawi inaonyesha miji yote nchini Malawi iliyokuwa na wakazi zaidi ya 5,000 kwenye mwaka 2018, pamoja na matokeo ya sensa ya miaka 1977, 1987, 1998, 2008 na 2018; halafu mji unapatikana katika ipi ya kanda tatu za nchi[1].

Miji ya Malawi[hariri | hariri chanzo]

Na. Mji Wakazi Kanda
Sensa 1977 Sensa 1987 Sensa 1998 Sensa 2008 Sensa 2018
1. Lilongwe 102,924 223,318 435,964 674,448 989,318 Kati
2. Blantyre 222,153 333,120 478,155 661,256 800,264 Kusini
3. Mzuzu 16,108 44,217 87,030 133,968 221,272 Kaskazini
4. Zomba 24,234 43,250 64,115 88,314 105,013 Kusini
5. Karonga 11,873 19,667 27,816 40,334 61,609 Kaskazini
6. Kasungu - 11,591 26,137 39,640 58,653 Kati
7. Mangochi 3,341 14,758 27,055 39,575 53,498 Kusini
8. Salima 4,646 10,618 20,332 27,852 36,789 Kati
9. Liwonde - 8,694 15,698 22,927 36,421 Kusini
10. Balaka - 9,064 14,347 22,733 36,308 Kusini
11. Dedza 5,448 16,899 15,259 20,241 30,928 Kati
12. Nkhotakota 10,312 12,163 19,421 24,726 28,350 Kati
13. Mchinji 1,962 4,921 11,479 17,881 28,011 Kati
14. Nsanje 6,091 11,009 16,941 20,179 26,844 Kusini
15. Mzimba 4,962 7,687 13,869 20,994 26,096 Kaskazini
16. Mponela - - 9,921 14,332 24,543 Kati
17. Rumphi 3,998 7,156 13,977 17,845 22,358 Kaskazini
18. Ntcheu 1,300 5,814 8,118 14,642 21,241 Kati
19. Mwanza - 4,743 8,118 14,226 18,039 Kusini
20. Chitipa - 4,925 7,136 14,753 17,743 Kaskazini
21. Monkey Bay - 5,649 8,793 11,246 14,955 Kusini
22. Mulanje - 7,113 12,569 14,497 14,782 Kusini
23. Nkhata Bay 4,000 6,494 9,424 11,269 14,274 Kaskazini
24. Luchenza - 4,728 8,825 10,896 12,600 Kusini
25. Ntchisi - 3,073 5,323 7,918 9,357 Kati
26. Thyolo 4,200 4,449 5,337 7,693 7,843 Kusini
27. Dowa 2,100 - 4,482 4,765 7,135 Kati
28. Ngabu - - - - 7,032 Kusini
29. Chipoka - - 3,986 5,476 6,395 Kati
30. Phalombe - - 2,592 4,935 6,242 Kusini
31. Chikwawa - 4,353 6,765 6,987 6,114 Kusini
Lilongwe, Mji Mkuu wa Malawi

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]