Nenda kwa yaliyomo

Mulanje (Malawi)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Muonekano mmoja wa Mulanje ukiwa Phalombe
Muonekano mmoja wa Mulanje ukiwa Phalombe

Mulanje (Malawi) ni mji ulioko kusini mwa Malawi.

Mwaka 2018 ulikadiriwa kuwa na wakazi 14,782[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mulanje (Malawi) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.