Orodha ya miji ya Uganda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Hii ni orodha ya miji ya nchi ya Uganda yenye angalau idadi ya wakazi 30,000 (2008).

# Mji Wakazi, 2008
1 Kampala 1,820,200
2 Kira 158,300
3 Gulu 141,500
4 Lira 98,300
5 Mbarara 97,500
6 Mbale 84,100
7 Jinja 82,800
8 Nansana 79,100
9 Masaka 71,700
10 Entebbe 70,200
11 Kasese 66,600
12 Njeru 59,900
13 Soroti 56,400
14 Mukono 54,400
15 Arua 53,600
16 Kitgum 52,900
17 Iganga 48,200
18 Fort Portal 44,900
19 Kabale 43,500
20 Busia 43,200
21 Koboko 42,600
22 Tororo 40,400
23 Masindi 38,600
24 Mityana 37,400
25 Hoima 36,800