Orodha ya miji ya Mali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani ya Mali, mikoa inayoonyeshwa ni hali kabla ya mwaka 2016

Orodha ya miji ya Mali inaonyesha miji mikubwa zaidi nchini Mali, yaani "communes" (halmashauri) zote zenye wakazi zaidi ya 50,000 wakati wa sensa ya tarehe 1 Aprili 2009 pamoja na mikoa (région) na wilaya (cercle) ambako zinapatikana.

Bamako ni eneo la pekee, si sehemu ya mkoa wowote.

Jina Mkoa
(Region)
Wilaya
(Cercle)
Halmashauri

ya vijijini au mjini

Wakazi 1998 Wakazi 2009 Ongezeko la kila mwaka(wastani)
Bamako[1] Bamako Bamako mjini 1,016,296 1,809,106 4.8
Sikasso[2] Sikasso Sikasso mjini 134,774 225,753 4.8
Kalabancoro Koulikoro[3] Kati vijijini 35,582 166,722 15.1
Koutiala Sikasso Koutiala vijijini 76,914 137,919 5.5
Ségou[4] Ségou Ségou mjini 105,305 130,690 2.0
Kayes[5] Kayes Kayes mjini 67,424 127,368 6.0
Kati Koulikoro[6] Kati mjini 52,714 114,983 7.3
Mopti[7] Mopti Mopti mjini 80,472 114,296 3.2
Niono Ségou[8] Niono vijijini 54,251 91,554 4.9
Gao[9] Gao Gao mjini 52,201 86,633 4.7
San Ségou[10] San mjini 46,631 68,067 3.5
Koro Mopti Koro vijijini 41,440 62,681 3.8
Bla Ségou[11] Bla vijijini 27,568 61,338 7.5
Bougouni Sikasso Bougouni mjini 37,360 59,679 4.3
Mandé Koulikoro[12] Kati vijijini 30,577 59,352 6.2
Baguineda-Camp Koulikoro[13] Kati vijijini 28,371 58,661
Kolondiéba Sikasso Kolondiéba vijijini 37,945 57,898 3.9
Kolokani Koulikoro[14] Kolokani vijijini 33,558 57,307 5.0
Pelengana Ségou[15] Ségou vijijini 19,963 56,259 9.9
Timbuktu (Tombouctou)[16] Timbuktu Timbuktu mjini 29,732 54,453 5.7
Koury Sikasso Yorosso vijijini 33,605 54,435 4.5
Massigui Koulikoro[17] Dioïla vijijini 42,665 53,947 2.2
Tonka Timbuktu[18] Goundam vijijini 37,821 53,438 3.2
Kadiolo Sikasso Kadiolo vijijini 31,292 52,932 4.9
Wassoulou-Balle Sikasso Yanfolila vijijini 37,498 51,727 3.0
Kaladougou Koulikoro Dioïla vijijini 23,823 51,384 7.2
Koumantou Sikasso Bougouni vijijini 33,987 51,348 3.8
Ouelesse-bougou Koulikoro Kati vijijini 36,198 50,056 3.0

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Bamako ni mji mkuu na mji mkubwa wa Mali, mwaka 2008
Sikasso ni mji mkubwa wa pili nchini, picha ya mwaka 2008
Ségou ni mji mkubwa wa tano wa Mali, 2008
  1. Archived copy. Jalada kutoka ya awali juu ya 2013-05-13. Iliwekwa mnamo 2022-01-09.
  2. Archived copy. Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-09-19. Iliwekwa mnamo 2022-01-09.
  3. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-07-22. Iliwekwa mnamo 2022-01-09.
  4. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-09-19. Iliwekwa mnamo 2022-01-09.
  5. Archived copy. Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-09-19. Iliwekwa mnamo 2022-01-09.
  6. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-07-22. Iliwekwa mnamo 2022-01-09.
  7. Archived copy. Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-09-19. Iliwekwa mnamo 2022-01-09.
  8. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-09-19. Iliwekwa mnamo 2022-01-09.
  9. Archived copy. Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-07-22. Iliwekwa mnamo 2022-01-09.
  10. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-09-19. Iliwekwa mnamo 2022-01-09.
  11. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-09-19. Iliwekwa mnamo 2022-01-09.
  12. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-07-22. Iliwekwa mnamo 2022-01-09.
  13. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-07-22. Iliwekwa mnamo 2022-01-09.
  14. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-07-22. Iliwekwa mnamo 2022-01-09.
  15. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-09-19. Iliwekwa mnamo 2022-01-09.
  16. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2013-03-17. Iliwekwa mnamo 2022-01-09.
  17. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-07-22. Iliwekwa mnamo 2022-01-09.
  18. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2013-03-17. Iliwekwa mnamo 2022-01-09.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]