Orodha ya Marais wa Uganda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Uganda

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Uganda



Nchi zingine · Atlasi

Hii ni orodha ya Marais wa Uganda:

Jina Ameingia Ofisini Ameondoka Ofisini Chama cha Kisiasa
Frederick Edward Mutesa II 9 Oktoba 1963 2 Machi 1966 Kabaka Yekka
Milton Obote 15 Aprili 1966 25 Januari 1971 Uganda People's Congress
Idi Amin 25 Januari 1971 13 Aprili 1979 Military
Yusuf Kironde Lule 13 Aprili 1979 20 Juni 1979 Uganda National Liberation Front
Godfrey Lukongwa Binaisa 20 Juni 1979 12 Mei 1980 Uganda National Liberation Front
Paulo Muwanga (Chairman of the Military Commission) 12 Mei 1980 22 Mei 1980 Uganda National Liberation Front
Presidential Commission (22 Mei 1980-15 Desemba 1980)
Milton Obote 17 Desemba 1980 27 Julai 1985 Uganda People's Congress
Bazilio Olara Okello (Chairman of the Military Council) 27 Julai 1985 29 Julai 1985 Military
Tito Okello (Chairman of the Military Council) 29 Julai 1985 26 Januari 1986 Military
Yoweri Kaguta Museveni 26 Januari 1986 Current incumbent Military/National Resistance Movement

Angalia Pia[hariri | hariri chanzo]