Mikoa ya Uganda

Mikoa ya Uganda ni nne tu: Wa kati, Magharibi, Mashariki na Kaskazini. Kila mmoja umegawanyika katika wilaya. Hizo zilikuwa 56 mwaka 2002,[1] zikafikia kuwa 135 (mbali ya jiji la Kampala) mwaka 2019.[2]
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
- ↑ 2002 Uganda Population and Housing Census. Uganda Bureau of Statistics. Iliwekwa mnamo 18 June 2013.
- ↑ Status of Local Governments. Ministry of Local Government. Jalada kutoka ya awali juu ya 18 September 2010.