Mkoa wa Magharibi (Uganda)
Mandhari
Mkoa wa Magharibi (kwa Kiingereza: Western Region) ni kati ya mikoa minne ya Uganda.
Kwa sasa linaundwa na wilaya 26.
Makao makuu yako Mbarara.
Wakazi ni 8,874,862.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Magharibi (Uganda) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |