Orodha ya lugha za Uganda
Mandhari
Orodha hii inaorodhesha lugha za Uganda:
- Kiacholi
- Kiadhola
- Kialur
- Kiamba
- Kiaringa
- Kibari
- Kichiga
- Kiganda (pia Luganda au Kiluganda)
- Kigujarati
- Kigungu
- Kigwere
- Kihindi
- Kiik
- Kikakwa
- Kikaramojong
- Kikenyi
- Kikonzo
- Kikumam
- Kikupsabiny
- Kilango
- Kilendu
- Kilugbara
- Kima'di
- Kima'di-Kusini
- Kimasaaba
- Kindo
- Kinubi
- Kinyang'i
- Kinyankore
- Kinyarwanda
- Kinyole
- Kinyoro
- Kipokoot
- Kirundi
- Kiruuli
- Kisaamia
- Kisinga
- Kisoga
- Kisoo
- Kitalinga-Bwisi
- Kiteso
- Kitooro