Mkoa wa Kaskazini (Uganda)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Wilaya za Uganda; mkoa wa Kaskazini una rangi ya njano.

Mkoa wa Kaskazini (kwa Kiingereza: Northern Region) ni kati ya mikoa mitano ya Uganda. Kwa sasa linaundwa na wilaya 30.

Makao makuu yako Gulu.

Wakazi ni 7,188,139.