Mkoa wa Kati (Uganda)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Wilaya za Uganda; mkoa wa Kati una rangi nyekundu.

Mkoa wa Kati (kwa Kiingereza: Central Region) ni kati ya mikoa mitano ya Uganda na eneo lake ni sawa na Ufalme wa Buganda. Kwa sasa unaundwa na wilaya 24.

Makao makuu yako Kampala.

Wakazi ni 9,529,227.