Nenda kwa yaliyomo

Buikwe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Buikwe
Ramani ya Uganda


Majiranukta: 00°20′39″N 33°01′48″E / 0.34417°N 33.03000°E / 0.34417; 33.03000
Country Uganda
Region Central Region
District Buikwe District
County Buikwe County
Constituency Buikwe South
Serikali
 - Member of Parliament Lulume Bayigga
Mwinuko 4,045.9 ft (1,234 m)
Idadi ya wakazi (2014 Census)
 - Wakazi kwa ujumla 18,500[1]
Tovuti:  Homepage

Buikwe (wakati mwingine hutamkwa Buyikwe) ni mji katika wilaya ya Buikwe, nchini Uganda. Ndio kitovu cha utawala cha wilaya na mahali yalipo makao makuu ya wilaya.

Buikwe ipo takribani kilomita 67, kwa barabara, mashariki mwa Kampala, makao makuu ya nchi na jiji kubwa zaidi nchini Uganda. Mahali hapa ni takribani kilomita 11, kwa barabara, kusini mwa Luganzi, mji uliopo karibu zaidi. Majira nukta ya Halmashauri ya mji wa Buikwe ni 0°20'36.0"N, 33°01'44.0"E (Latitude:0.343333; Longitude:33.028889).

Maelezo ya jumla

[hariri | hariri chanzo]

Buikwe ni miji mdogo uliopo kusini-mashariki mwa mkoa wa kati wa Uganda. Ndio chimbuko la timu ya mpira ya Nalubaale.[2]

Idadi ya watu

[hariri | hariri chanzo]

Mnamo tarehe 27 August 2014, Sensa ya ilionesha Buikwe kuwa na idadi ya watu 16,633.[3] Mwaka 2015, Ofisi ya takwimu ya Uganda iliikadiria Buikwe kuwa na idadi ya watu 16,800.Mwaka 2020, ofisi ya takwimu ilikadiria idadi ya watu katikati ya mwaka kuwa ni 18,500, ambapo 9,700 (52.4%) walikuwa wanawake na 8,800 (47.6%) walikuwa wanaume. Ofisi ya takwimu ilikadiria kiwango cha ukuaji wa idadi ya watu katika mji huo kwa mwaka kuwa ni asilimia1.95, kati ya mwaka 2015 na 2020.[1]

  1. 1.0 1.1 Uganda Bureau of Statistics (14 Juni 2020). "The population development of Buikwe as well as related information and services". Citypopulation.de Quoting Uganda Bureau of Statistics. Iliwekwa mnamo 6 Juni 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Johnson Were, and Norman Katende (7 Januari 2009). "Nalubaale Boss Quits". New Vision (Kampala). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-01-21. Iliwekwa mnamo 21 Januari 2015. {{cite web}}: More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Uganda Bureau of Statistics (27 Agosti 2014). "The Population of The Regions of the Republic of Uganda And All Cities And Towns of More Than 15,000 Inhabitants". Citypopulation.de Quoting Uganda Bureau of Statistics. Iliwekwa mnamo 21 Februari 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)