Kibiito

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Uganda Kibiito katika ramani ya Uganda kama ambavyo inaonekana kwa majiranukta 00°28′39″N 30°11′33″E / 0.47750°N 30.19250°E / 0.47750; 30.19250

Kibiito ni mji katika Mkoa wa Magharibi mwa Uganda. Ni eneo kuu la utawala wa wilaya ya Bunyangabu na makao makuu ya wilaya yako hapo.[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Basiime, Felix (3 March 2017). Kabarole budgets Shs12 billion for new Bunyangabu District. Jalada kutoka ya awali juu ya 2017-08-12. Iliwekwa mnamo 12 August 2017.
  2. Kajubu, Emmanuel (3 July 2017). Pictorial: Bunyangabu District Interim LCV Chairperson Elections. Iliwekwa mnamo 12 August 2017.