Kasese

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mji wa Kasese
Kasese

Lua error in Module:Location_map at line 510: Unable to find the specified location map definition: "Module:Location map/data/Uganda" does not exist.Mahali pa mji wa Kasese katika Uganda

Majiranukta: 0°11′12″N 30°05′17″E / 0.18667°N 30.08806°E / 0.18667; 30.08806
Nchi Uganda
Mkoa Magharibi
Wilaya Kasese
Idadi ya wakazi
 - 66,600

Kasese ni mji mkuu wa Wilaya ya Kasese nchini Uganda wenye wakazi wake takriban 66,600. Mji uko magharibi mwa Ziwa George. Awali mji huu ulikua kutokana na uchimbaji wa madini ya shaba katika eneo ka Kilembe, na hapo baadaye uchimbaji wa kobalti. Huu ndio mji mkuu wa Wilaya ya Kasese na makao makuu ya wilaya yapo hapo. Kasese pia ndio mji mkubwa kwenye Mkoa wa Rwenzururu. Makazi ya Charles Mumbere, Omusinga wa Rwenzururu yako katika mji huu.

Location[hariri | hariri chanzo]

Kasese ni mji ulioko sehemu ya mwisho kabisa ya Reli ya Uganda upande wa magharibi inyoelekea Kampala na Tororo na pia ndipo ulipo Uwanja wa Ndege wa Kasese. Mji uko jirani na Milima ya Rwenzori na Mbuga ya Kitaifa ya Queen Elizabeth.

Idadi ya wakazɪ[hariri | hariri chanzo]

Old Kasese Train Station

Agosti 2014, Uganda Bureau of Statistics ilikaridia kuwa Kasese ina wakazi wapatao 101,679.[1] Kasese ni kati ya miji inayokua kwa kasi zaidi nchini Uganda.

Vivutio[hariri | hariri chanzo]

Kilembe Copper Mine

Vivutio hivi vimo katika mji huu na pembezoni mwake:

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. UBOS (27 August 2014). The Population of The Regions of the Republic of Uganda And All Cities And Towns of More Than 15,000 Inhabitants. Citypopulation.de Quoting Uganda Bureau of Statistics (UBOS). Iliwekwa mnamo 22 February 2015.
  2. Asiimwe, Wilson (7 June 2014). Kilembe mines rehabilitation starts. New Vision. Jalada kutoka ya awali juu ya 2015-10-30. Iliwekwa mnamo 13 September 2015.
  3. Enid Ninsiima, and Thembo Kahungu Misairi (13 September 2015). Four killed as floods sweep Kilembe Mines hospital. Jalada kutoka ya awali juu ya 2019-06-18. Iliwekwa mnamo 1 July 2015.
  4. Thawite, John (4 June 2013). Kilembe Hospital re-opens. Jalada kutoka ya awali juu ya 2015-07-02. Iliwekwa mnamo 13 September 2015.
  5. John Thawite, and Taddeo Bwambale (8 May 2014). Five perish as fresh floods hit Kasese. Jalada kutoka ya awali juu ya 2015-07-02. Iliwekwa mnamo 13 September 2015.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikivoyage-Logo-v3-icon.svg Kasese travel guide kutoka Wikisafiri

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu: