Omusinga wa Rwenzururu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Omusinga wa Rwenzururu ni jina la kifalme kwenye Ufalme wa Rwenzururu.

Jina hili lilitumiwa na Charles Mumbere kwa zaidi ya miaka 43 baada ya Omusinga wa kwanza, baba yake Isaya Mukirania, kufariki mwaka 1966. Hata hivyo, Mumbere hakupewa kiti cha ufalme na kutambuliwa na serikali ya Uganda hadi mwaka 2009.[1][2]

Orodha ya omusinga[hariri | hariri chanzo]

  1. 1963–1966: Isaya Mukirania (Kibanzanga I)
  2. 2009–present: Charles Mumbere (Irema-Ngoma I)

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Rwenzururu Kingdom Commemorates Isaya Mukirania Anniversary", 4 September 2013. Retrieved on 25 February 2018. Archived from the original on 2018-11-14. 
  2. "US nurse's aide becomes Ugandan king", 19 October 2009. Retrieved on 25 February 2018. 
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Omusinga wa Rwenzururu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.