Nenda kwa yaliyomo

Hoima

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Punda akivuka bararabara Hoima,Uganda


Majiranukta: 01°25′55″N 31°21′09″E / 1.43194°N 31.35250°E / 1.43194; 31.35250
Nchi Uganda
Mkoa Magharibi
Wilaya Hoima
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 36,800

Hoima ni mji mkuu wa Wilaya ya Hoima nchini Uganda.

Idadi ya wakazi wake ni takriban 36,800.

Hoima ipo takriban kilomita 200 kwa barabara ,kaskazini-magharibi ya mji wa Kampala, barabara ya Hoima-Kampala imetengenezwa kwa kiwango cha lami.Majira-nukta ya Hoima ni 1°25'55.0"N 31°21'09.0"E (Latitude:1.431944; Longitude:31.352500).[1]

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu: