Iganga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Ramani ya Iganga,Uganda
Kanisa lililopo Iganga,Uganda
Iganga

Lua error in Module:Location_map at line 510: Unable to find the specified location map definition: "Module:Location map/data/Uganda" does not exist.Mahali pa mji wa Iganga katika Uganda

Majiranukta: 0°37′N 33°29′E / 0.617°N 33.483°E / 0.617; 33.483
Nchi Uganda
Mkoa Mashariki
Wilaya Iganga
Idadi ya wakazi
 - 48,200

Iganga ni mji mkuu wa Wilaya ya Iganga nchini Uganda. Idadi ya wakazi wake ni takriban 48,200.

Sehemu[hariri | hariri chanzo]

Iganga ipo eneo la ukanda mdogo wa Busoga.Upo takriban kilomita 40, kwa barabara ,kaskazini-mashariki mwa mji wa Jinja na majira-nukta ya eneo hilo ni: 0°36'54.0"N, 33°29'06.0"E (Latitudi:0.6150; Longitudi:33.4850)..[1]

Maelezo[hariri | hariri chanzo]

Vivutio vya mji huo ni pamoja na miradi ya 'DevelopNet', ambao ni sehemu ya kupatia mtandao na kutoa msaada kwa jamii kwa kuandaa majukwaa tafauti tafauti kupitia taasisi zisizo za kiserikali.Ni sehemu ambayo taasisi zisizo za kiserikali zimejikita zaidi ili kusaidia kwenye maswala ya elimu na maendeleo ya jamii kwa ujumla.Mji wa Igunga ina ofisi za kutoa mitandao kadhaa , nyumba za wageni na soko lililotazamana na eneo la kuegesha teksi.[2]


Tazama pia[hariri | hariri chanzo]


Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  1. Kigezo:Google maps
  2. Cite error: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named 2R