Mbarara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mbarara
Mbarara is located in Uganda
Mbarara
Mbarara
Mahali pa mji wa Mbarara katika Uganda
Majiranukta: 00°36′48″S 30°39′30″E / 0.61333°S 30.65833°E / -0.61333; 30.65833
Nchi Uganda
Mkoa Magharibi
Wilaya Mbarara
Idadi ya wakazi
 - 97,500
Ramani ya Mbarara, Uganda
Wilaya ya Mbarara, Uganda

Mbarara ni mji mkuu wa Wilaya ya Mbarara nchini Uganda Jumuia ya Afrika Mashariki. Idadi ya wakazi wake ni takriban 197,500.

Ni mji maluum ambao una chuo kikuu cha Makerere, Kikara Campus.

Ushawishi wake ulitoka Kiswa na Wilaya ya Isingiro.

Tazama pia