Kakumiro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani eneo la Kakumiro
majira nukta (0 ° 46'52.0 "N, 31 ° 19'23.0" E (Latitude: 0.781111; Longitude: 31.323056))

Kakumiro ni mji katika mkoa wa Magharibi wa Uganda ambapo ni kituo kikuu cha manispaa kiutawala na kibiashara cha wilaya ya Kakumiro na makao makuu ya wilaya.[1]

Mahali ilipo[hariri | hariri chanzo]

Kakumiro ipo katika kaunti ndogo ya Bwanswa ambapo ni takriban kilomita 182 sawa na maili 113 umbali kutoka kaskazini magharibi mwa Kampala ambao ndio mji mkuu wa nchi hiyo.[2] Kakumiro pia ipo takriban kilomita 80 sawa na maili 50 umbali kutokea kusini mwa Hoima mji mkubwa ulio karibu.[3] ikiwa na majira nukta (0 ° 46'52.0 "N, 31 ° 19'23.0" E (Latitude: 0.781111; Longitude: 31.323056)).[4].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Fred Kiva, and Patrick Zimurinda (15 January 2011). Museveni Grants Kakumiro and Kagadi District status. Uganda Radio Network. Iliwekwa mnamo 27 July 2017.
  2. GFC (27 July 2017). Distance between Post Office Building, Kampala Road, Kampala, Uganda and Kakumiro, Western Region, Uganda. Globefeed.com (GFC). Iliwekwa mnamo 27 July 2017.
  3. GFC (27 July 2017). Distance between Post Office Building, Kampala Road, Kampala, Uganda and Kakumiro, Western Region, Uganda. Globefeed.com (GFC). Iliwekwa mnamo 27 July 2017.
  4. Kigezo:Google maps