Wilaya ya Bunyangabu
Jump to navigation
Jump to search
Wilaya ya Bunyangabu | |
Majiranukta: 00°29′N 30°12′E / 0.483°N 30.200°E | |
Nchi | ![]() |
---|---|
mji mkuu | Kibiito |
Idadi ya wakazi (2014) | |
- | 171,292 |
Tovuti: http://www.bunyangabu.go.ug |
Wilaya ya Bunyangabu ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Magharibi, Uganda iliyoanzishwa tarehe 1 Julai 2017 kutokana na wilaya ya Kabarole.
Idadi ya wakazi wakati wa sensa ya mwaka 2014 ilihesabiwa kuwa 171,292.
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
![]() | Makala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Bunyangabu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |