Uislamu nchini Uganda
Jump to navigation
Jump to search

Msikiti wa Taifa Uganda ni moja kati ya misikiti mikubwa mno katika eneo la Afrika ya Jangwa la Sahara.
Uislamu kwa nchi ![]() |
Uislamu nchini Uganda umekadiriwa kuwa ni asilimia 12 tu ya wakazi wote wa nchini humo hasa kwa hesabu waliofanya ya sensa ya mwaka wa 2002.[1] Sehemu kubwa ya Waislamu wa nchini humo ni wale wanaofuata dhehebu la Sunni. Wapo kiasi pia Shia na Ahmadiyya.[2]
Takwimu za hivi karibuni[hariri | hariri chanzo]
Sensa ya taifa ya mwaka wa 2002 ilikerediwa na kuonesha kuna Waislamu asilimia 12.1 katika jumla ya idadi ya wakazi wote wa nchini humo.
Dini | % Waislamu |
---|---|
Kati | 18.4% |
Mashariki | 17.0% |
Kaskazini | 8.5% |
Magharibi | 4.5% |
Jumla | 12.1% |
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ 2002 Uganda Population and Housing Census - Main Report (PDF). Uganda Bureau of Statistics. Iliwekwa mnamo 2008-03-26.
- ↑ The World's Muslims: Unity and Diversity. Pew Forum on Religious & Public life (August 9, 2012). Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-10-24. Iliwekwa mnamo August 14, 2012.
This article incorporates public domain material from websites or documents of the Library of Congress Country Studies.