Msikiti Mkuu mjini Niamey, Niger, nchi ambayo ina Waislamu wapatao asilimia 94 ya jumla ya wakazi wote wa nchini humo.
Uislamu nchini Niger ni dini ya kwanza kwa ukubwa. Imani hii hufuatwa na waumini ambao ni zaidi ya asilimia 94 ya idadi ya wakazi wote wa nchini humo,[1] .
Sehemu kubwa ya Waislamu nchini humo ni wa dhehebu la Sunni wanaofuata mafundisho ya imamuMaliki wakiwa na athira kiasi za Usufii.