Uislamu nchini São Tomé na Príncipe
Mandhari
(Elekezwa kutoka Uislamu nchini São Tomé and Príncipe)
Uislamu kwa nchi |
Uislamu huko São Tomé na Príncipe, unakadiriwa kuwa na waumini wapatao 5,500 dhidi ya idadi ya wakazi wote nchini humo ambayo imekadiriwa kuwa 181,000, sawa na asilimia 3 ya wakazi wote wa nchini humo. Asilimia kubwa ya wakazi wa nchini humo ni wafuasi wa Ukristo wa dhehebu la Romani Katoliki ambao wamechukua asilimia 80 ya wakazi wote nchini humo; São Tomé na Príncipe lilikuwa koloni wa Ureno kwa miaka mingi sana, ambao wamekithiri Ukatoliki.[1]
Kuna misikiti na baadhi ya tasisi ambazo zinajiendesha na vilevile zinajulikana nchini humo.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-07-04. Iliwekwa mnamo 2016-06-23.
- ↑ http://www.islamicfinder.org/cityPrayer.php?country=sao_tome_and_principe
Makala kuhusu Uislamu kwa nchi bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |