Nenda kwa yaliyomo

Uislamu nchini Gambia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Msikiti nchini Gambia
Uislamu kwa nchi


Uislamu ni dini yenye wafuasi wengi nchini Gambia, ikiwa na asilimia 95.3 za idadi ya wakazi wote wa nchi hiyo.[1] Sehemu kubwa ya Waislamu wa Gambia ni wa dhehebu la Sunni wanaofuata mwongozo wa Maliki, wenye athira pia ya Usufi. Vilevile kuna nyendo za Wahmadiyya.[2]

Uislamu nchini humo unasifika kwa kushirikiana na makundi mengine ya dini. Baadhi ya makundi hayo ni pamoja na Kanisa Katoliki, Uprotestanti na Dini asilia za Kiafrika.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. http://features.pewforum.org/muslim-population/
  2. "Association of Religious Data Archives". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-06-10. Iliwekwa mnamo Mei 31, 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)