Uislamu nchini Misri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Uislamu kwa nchi
Continents colour2.svg

Uislamu nchini Misri ndiyo dini kubwa nchini ikiwa na wafuasi wapatao milioni 80.

Idadi hii inabeba asilimia 94.7 ya wakazi wote wa nchini humo na hiyo ni kwa mujibu wa sensa yao ya mwaka wa 2010.[1][2]

Karibia Waislamu wa nchi nzima ni wafuasi wa madhehebu ya Wasunni,[3] kukiwa na idadi kiasi ya Shia na Ahmadia.[4]

Tangu mwaka 1980, Misri huhesabiwa kama taifa la kidini ijapokuwa haijatambulika rasmi.[5]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]