Uislamu nchini Sierra Leone

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Uislamu kwa nchi
Continents colour2.svg

Uislamu nchini Sierra Leone umeakariwa na wafuasi wapatao 4,059,000 ambao wameripotiwa kuwa Waislamu nchini humo hasa kwa mujibu wa sensa waliofanya mnamo mwaka wa 2009. Hili linapendekeza ya kwamba asilimia 71.3 ya jumla ya wakazi wote nchini humo kuwa ni Waislamu.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]