Uislamu nchini Kamerun

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ikulu la sultani wa Wabamun katika Foumban, Mjini Magharibi.
Uislamu kwa nchi

Waislamu wapo asilimia 31 kati ya milioni 21 ya wakazi wote wa nchini Cameroon.[1]

Makadirio yanaonesha asilimia 27 wanajitambua kama wa dhehebu la Sunni, 12% Ahmadia na 3% Shia wakati kundi kubwa lililobaki halijihusishi na kundi lolote miongoni mwa hayo yaliyotajwa.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. * "Background Note: Cameroon". January 2008. United States Department of State. Accessed 21 February 2008.
  2. The World's Muslims: Unity and Diversity. Pew Forum on Religious & Public life (August 9, 2012). Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-10-24. Iliwekwa mnamo August 14, 2012.