Uislamu katika Guinea ya Ikweta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uislamu kwa nchi

Kwa mujibu wa Ripoti ya 2006 ya Kitengo cha Uhuru wa Dini cha Kimataifa cha Marekani, waumini wa dini ya Kiislamu wapo chini ya asilimia moja idadi ya wakazi wote wa nchi ya Guinea ya Ikweta.[1] Ripoti ya wavuti ya Adherents.com, hata hivyo, imekadiria ya kwamba Waislamu wameongezeka kutoka asilimia 1 hadi asilimia 25% ya jumla ya wakazi wote wa nchini hiyo.[2] Wahindi walio wengi nchini humo ni Waislamu. Kuna msikiti mmoja wa Ahmadiyya nchini humo.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. State.gov
  2. "Adherents.com". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-05-07. Iliwekwa mnamo 2015-07-10.  Unknown parameter |= ignored (help)