Uislamu nchini Madagascar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Uislamu kwa nchi
Continents colour2.svg

Uislamu umeanzishwa vyema katika nchi ya leo ijulikanayo kama Madagaska. Kwa karne na karne na leo hadi leo hii Waislamu nchini humo wanawakilisha karibia asilimia 7 ya jumla ya wakazi wote wa nchini humo.[1]

Karibia Waislamu wote wa Madagascar wanafuata dhehebu la Sunni katika mafundisho ya [Imamu]] Shafi, huku kukiwa na idadi ndogo ya wafuasi wa Ahmadiyya ambao walianza kuingia kwenye miaka ya 1980.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. The World Factbook - Madagascar. Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-08-25. Iliwekwa mnamo 2016-05-10.
  2. Ahmadiyya Muslim Mosques around the world, 76. 
Icon-religion.svg Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.