Uislamu katika Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo
Mandhari
(Elekezwa kutoka Uislamu nchini Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo)
Uislamu kwa nchi |
Uislamu umepata kuwepo mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo tangu karne ya 18, wakati wafanyabiashara wa Kiarabu kutoka Afrika ya Mashariki walipo lazimika kuingia ndanindani kabisa kwa lengo la kufanya biashara ya pembe za ndovu. Kulingana na ripoti ya kitabu cha CIA, Waislamu ni asilimia 10 tu ya wakazi wote wa Kongo.[1] Hata hivyo, makadirio ya kweli yalifanywa na Pew Research Project wakiwa wamepata asilimia 1.5 tu.[2]
Waislamu wengi wa Kongo ni wa dhehebu la Sunni wanaofuata mafunzo ya imam Maliki, asilimia 10 Washia na asilimia 6 nia Ahmadia.[3]
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "CIA World Factbook: DR Congo". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-12-24. Iliwekwa mnamo 2015-05-09.
- ↑ Pew Research: Table: Religious Composition by Country, in Percentages
- ↑ "The World's Muslims: Unity and Diversity" (PDF). Pew Forum on Religious & Public life. Agosti 9, 2012. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2012-10-24. Iliwekwa mnamo Agosti 14, 2012.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala kuhusu Uislamu kwa nchi bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |