Uislamu nchini Sudan
Uislamu kwa nchi ![]() |

Uislamu nchini Sudan ni dini yenye wafuasi wengi mno, na Waislamu wameshikilia taasisi nyingi za serikali tangu uhuru mnamo 1956. Kwa mujibu wa UNDP Sudan, idadi ya Waislamu umefikia asilimia 97 ya wakazi wa nchi nzima,[1] wakiwemo makundi mbalimbali ya Waarab na wasio Waarab. Asilimia tatu ilobakia huhesabiwa aidha Ukristo au dini nyingine za jadi. Sehemu kubwa ya waumini wa ni wafuasi wa dhehebu la Sunni wanaofuata mafundisho ya imamu Maliki, wenye athira kubwa ya Usufi.[2][3] Vilvile kuna baadhi ya taasisi za Shia huko mjini Khartoum.[3]
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Sudan Overview. http://www.sd.undp.org/.+Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-06-05. Iliwekwa mnamo 2013-04-03.
- ↑ Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-03-09. Iliwekwa mnamo 2016-07-26.
- ↑ 3.0 3.1 http://books.google.co.uk/books?id=TktxvDN2QX4C&pg=PA28&dq=shia+sudan&hl=en&ei=uAosTvf4Gcit8gOumoyCDA&sa=X&oi=book_result&ct=result&resnum=1&ved=0CC0Q6AEwAA#v=onepage&q=shia%20sudan&f=false
This article incorporates public domain material from websites or documents of the Library of Congress Country Studies.