Uislamu nchini Namibia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Uislamu kwa nchi
Continents colour2.svg

Uislamu nchini Namibia ni dini ya tatu kwa ukubwa baada ya Ukristo na dini za jadi za wenyeji.

Idadi kamili ya Waislamu nchini humo ina mgogoro kidogo; makadirio yanaonesha kuna asilimia chini ya 1[1] hadi 3 ya wakazi wote wa nchini humo.[2]

Karibia Waislamu wote wa Namibia ni wa dhehebu la Sunni.[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. name=report
  2. IslamOnline.net- News
  3. name=report