Nenda kwa yaliyomo

Uislamu nchini Bhutan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uislamu kwa nchi

Uislamu nchini Bhutan ni dini ndogo mno nchini Bhutan. Imekadiriwa kuwa ni asilimia 0.2 ya Waislamu wote wanaoishi nchini humo. Dini kuu ni Ubudha.[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]