Uislamu nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati
Mandhari
Uislamu kwa nchi |
Uislamu unakadiriwa kuwa asilimia 15 (watu 750,000) ya jumla ya wakazi wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, inaufanya kuwa kundi la pili la dini lenye wafuasi wengi baada ya Ukristo wenye asilimia 80.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Ministère du Plan et de l'Economie". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-12-10. Iliwekwa mnamo 2015-05-09.
Makala kuhusu Uislamu kwa nchi bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |