Uislamu nchini Rwanda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uislamu kwa nchi

Uislamu nchini Rwanda ni dini yenye wafuasi wachache mno nchini humo, inaabudiwa na watu asilimia 2 ya idadi ya wakazi wote wa nchini humo - kwa sensa ya mwaka wa 2012.[1] Wako zaidi upande wa mashariki wa nchi na katika miji mikubwa. Sehemu kubwa ya Waislamu wa Rwanda ni wale wa dhehebu la Sunni.


Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Rwanda[dead link], tovuti ya muslimdemography.com, iliangaliwa Februari 2017