Uislamu nchini Ghana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uislamu kwa nchi

Uislamu ulikuwa moja kati ya dini zenye wafuasi wengi sana nchini Ghana. Uwepo wake umeanza tangu mnamo karne ya 10 ambapo pia uliendana sawa na ufaji wa Dola la Ghana.

Leo hii idadi ya Waislamu nchini humo ni takriban asilimia 30 za wakazi wa nchi nzima ya Ghana.

Sehemu kubwa ya Waislamu wa nchini Ghana wanafuata Sunni, huku kukiwa na makadirio ya kwamba asilimia 16 ni wafuasi wa Ahmadiyya na asilimia karibia 8 ni wafuasi wa Shia.[1]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. The World's Muslims: Unity and Diversity 16, 30. Pew Forum on Religious & Public life (August 9, 2012). Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-10-24. Iliwekwa mnamo 25 February 2016.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]