Uislamu nchini Bangladesh

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uislamu kwa nchi

Uislamu nchini Bangladesh ni dini kubwa na rasmi nchini Bangladesh.[1][2] Ina Waislamu wapatao milioni 146, inaifanya kuwa nchi ya nne duniani kwa wingi wa Waislamu baada ya Indonesia, Pakistan, na India.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]