Uislamu nchini Liberia

Uislamu kwa nchi ![]() |
Uislamu nchini Liberia unakadiriwa kufuatwa na watu karibia asilimia 12.2 ya idadi ya wakazi wote wa nchini humo.[1]
Sehemu kubwa ya Waislamu wa Liberia ni wale wanaofuata mafundisho ya Maliki dhehebu la Sunni, kukiwa na idadi kiasi ya Shia na Ahmadiyya.[2] Kundi kubwa la Waislamu nchini humo ni la kabila la Wavai na Mandingo lakini pia Wagbandi, Kpelle na jamii zingine ndogondogo.[3]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ International Religious Freedom Report 2010: Liberia. United States Department of State (November 17, 2010). Iliwekwa mnamo July 22, 2011.
- ↑ The World's Muslims: Unity and Diversity. Pew Forum on Religious & Public life (August 9, 2012). Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-10-24. Iliwekwa mnamo August 14, 2012.
- ↑ Larkin, Barbara (2001). International Religious Freedom (2000): Report to Congress by the Department of State, 46.