Uislamu nchini Cameroon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mahali pa sultani wa Wabamun katika Foumban, Mjini Magharibi
Uislamu kwa nchi
Continents colour2.svg

Waislamu wapo asilimia 24 kati ya milioni 21 ya wakazi wote wa nchini Cameroon.[1] Makadirio yanaonesha asilimia 27 wanajitambua kama wa dhehebu la Sunni, 12% Ahmadi na 3% Shia wakati kundi kubwa lililobaki halijihusishi na kundi lolote miongoni mwa hayo yaliyotajwa.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. * "Background Note: Cameroon". January 2008. United States Department of State. Accessed 21 February 2008.
  2. The World's Muslims: Unity and Diversity. Pew Forum on Religious & Public life (August 9, 2012). Iliwekwa mnamo August 14, 2012.