Nenda kwa yaliyomo

Uislamu nchini Swaziland

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Msiki wa Baitul Hadi, Hlatikulu
Uislamu kwa nchi

Taifa la Eswatini ni nyumbani pa watu wanaozidi milioni 1, ambao asilimia 10 wanakadiriwa kutambuliwa kama Waislamu kwa mujibu wa CIA, ambao wengi wao ni wafuasi wa dhehebu la Sunni.[1] Uislamu nchini Swaziland huenda unatoka mbali tangu enzi za ukoloni, wakati huo Swiziland ilikuwa jirani mno na Afrika Kusini, Waislamu wengi waliloea nchini humo wakitokea nchi nyingine chini ya utawala wa Dola la Uingereza. The Jumuiya ya Kiislamu ya Ahmadiyya inadai ina wafuasi wapatao 250 nchini humo.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-12-24. Iliwekwa mnamo 2016-07-26. {{cite web}}: Unknown parameter |= ignored (help)
  2. Ahmadiyya Muslim Mosques Around the World. The Ahmadiyya Muslim Community. 2008. pg. 107. ISBN 1-882494-51-2

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]