Nenda kwa yaliyomo

Uislamu nchini São Tomé na Príncipe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uislamu kwa nchi

Uislamu huko São Tomé na Príncipe, unakadiriwa kuwa na waumini wapatao 5,500 dhidi ya idadi ya wakazi wote nchini humo ambayo imekadiriwa kuwa 181,000, sawa na asilimia 3 ya wakazi wote wa nchini humo. Asilimia kubwa ya wakazi wa nchini humo ni wafuasi wa Ukristo wa dhehebu la Romani Katoliki ambao wamechukua asilimia 80 ya wakazi wote nchini humo; São Tomé na Príncipe lilikuwa koloni wa Ureno kwa miaka mingi sana, ambao wamekithiri Ukatoliki.[1]

Kuna misikiti na baadhi ya tasisi ambazo zinajiendesha na vilevile zinajulikana nchini humo.[2]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-07-04. Iliwekwa mnamo 2016-06-23.
  2. http://www.islamicfinder.org/cityPrayer.php?country=sao_tome_and_principe