Uislamu nchini Lesotho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uislamu kwa nchi

Uislamu nchini Lesotho katika mwaka wa 2013 ulikadiriwa kuwa na wafuasi 3,000 kati ya wakazi milioni 2 nchi nzima.

Sehemu kubwa ya jamii ya Kiislamu nchini humo ni kutoka Asia ya Kusini (India, Pakistan, Bangladesh, na Sri Lanka), lakini pia kuna idadi kubwa ya wakazi kutoka Mashariki ya Kati, kama vile Afghanistan.

Waislamu wenye asili ya Asia Kusini, wamekuwa mashuhuri mno hasa kwa kuweza kuanzisha jumuia na taasisi za Kiislamu kadha wa kadha na kufanya biashara vilevile.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Matope, Tsitsi. "Lesotho's Diverse cultures". Public Eye Online. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-08-11. Iliwekwa mnamo August 1, 2014.  Check date values in: |accessdate= (help)