Uislamu nchini Guinea-Bissau
Mandhari
Uislamu kwa nchi |
Uislamu nchini Guinea-Bissau ni moja kati ya dini kubwa nchini humo, imekadiriwa kufikia asilimia 50[1] za wakazi wake ambapo kwa harakaharaka ni kama milioni 1.4 ya raia wa huko ni wafuasi wa dini ya Kiislamu.
Sehemu kubwa ya Waislamu wa Bissau ni dhehebu la Sunni wanaofuata mafunzo ya Maliki, yenye athira ya Usufi. Imekadiriwa asilimia 6 kuwa ni Shia na asilimia 2 ni Ahmadiyya nao pia wamo.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ United Nations High Commissioner for Refugees. "Refworld | 2010 Report on International Religious Freedom - Guinea-Bissau". United States Department of State. UNHCR. Iliwekwa mnamo 2010-12-09.
- ↑ "The World's Muslims: Unity and Diversity" (PDF). Pew Forum on Religious & Public life. Agosti 9, 2012. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2012-10-24. Iliwekwa mnamo Agosti 14, 2012.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala kuhusu Uislamu kwa nchi bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |